img Leseprobe Leseprobe

Kirusi Kipya

Halfani Sudy

PDF
ca. 28,99
Amazon iTunes Thalia.de Hugendubel Bücher.de ebook.de kobo Osiander Google Books Barnes&Noble bol.com Legimi yourbook.shop Kulturkaufhaus ebooks-center.de
* Affiliatelinks/Werbelinks
Hinweis: Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.

Mkuki na Nyota Publishers img Link Publisher

Belletristik/Erzählende Literatur

Beschreibung

Askari wa kike, Hannan Halfani anagundua siri kubwa ya kupangwa kwa mpango wa kumuua rais Mark Mwazilindi akiwa katika maliwato ya ikulu. Kutoka katika mdomo wa Hannan, anaisafirisha siri hiyo hadi katika sikio la mpelelezi mahiri nchini Tanzania, Daniel Mwaseba. Daniel na Hanna wakishirikiana na mpelelezi wa kujitegemea, Martin Hisia, wanaingia kazini na kuanza kuchunguza kisa cha kupangwa kwa kifo cha rais. Unakuwa ni uchung uzi mgumu sana. Uchunguzi unaowa-pitisha katika msitu mnene na unaowapitisha katika matukio ya kutisha isivyo kawaida. Uchunguzi unaowafanya wawe karibu na kifo kuliko wakati wowote katika maisha yao ya kipelelezi. Kwa hakika, kunakuwa na mstari mwembamba sana kati ya maisha yao na kifo Bila kujua, kumbe walikuwa wameingia katika anga hatari sana za wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya nchini Tanzania. Madawa ambayo kwa sasa yamekuwa ni KIRUSI KIPYA. Wafanyabiashara hawa wanapanga kumuua rais Mark kwa kuwa amekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika biashara zao. Wakina Daniel wanajikuta na kazi kuu mbili ngumu sana kuliko zote walizowahi kuzifanya, ya kwanza ni kuzuia kuawa kwa rais, ya pili ni kuwatia mbaroni watanvabiashara wote wa madawa havo haramu. Je wakina mpelelezi Daniel Mwaseba na wenzake watafanikiwa?

Weitere Titel in dieser Kategorie
Cover Sinaubi
Mbwana Kidato
Cover Kilio cha Mwanamke
Idrissa Haji Abdalla
Cover Kirusi Kipya
Halfani Sudy
Cover Penzi la Damu
Anna Manyanza
Cover Nyumbani
LS Morgan
Cover Mioyo Miongoni Mwetu
A. Happy Umwagarwa
Cover Mmeza Fupa
Ali Hilal
Cover Ardhi ya Gorofa
Edwin A Abbott
Cover Oliver Twist
Charles Dickens
Cover Mashine ya Wakati
Herbert George Wells
Cover Nyangumi
Herman Melville
Cover Njama
E.A. Musiba
Cover Hofu
E.A. Musiba
Cover Nyuma Ya Pazia
Nkuzi Mhango

Kundenbewertungen