img Leseprobe Leseprobe

Sinaubi

Mbwana Kidato

PDF
ca. 28,99
Amazon iTunes Thalia.de Hugendubel Bücher.de ebook.de kobo Osiander Google Books Barnes&Noble bol.com Legimi yourbook.shop Kulturkaufhaus ebooks-center.de
* Affiliatelinks/Werbelinks
Hinweis: Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.

Mkuki na Nyota Publishers img Link Publisher

Belletristik/Erzählende Literatur

Beschreibung

Hii ni Riwaya ya kwanza ya Mbwana Kidato ambayo inatokana na tukio la kweli alilolisoma alipokuwa akipitia majarida mbali mbali ya Tanzania kwenye mtandao. Kwenye kurasa za mbele, alikutana na habari ya kuhuzunisha. Ilikuwa ni habari ya msichana mwenye ulemavu wa ngozi aliyekatwa viungo vya mwili wake. Hii ni kazi ya mwandishi, kazi ya kufikirika, yenye kuelimisha, kuakisi maisha yetu na kutuuliza maswali juu ya utu wetu. Je miongoni mwetu kuna wengine wana utu wenye thamani zaidi ya utu wa wengine? Kama kuna kipimo cha utu, huo utu unapimwa na kipimo cha aina gani? Je kipimo hicho ni maumbile yetu au ni tabia zetu? ama ni vitu vinavyo tuzunguka? Muandishi anajaribu kuuliza haya maswali, kupitia muhusika mkuu wa riwaya hii ambaye ni ‘SINAUBI’. Mbwana Kidato ni mtengenezaji wa vipindi vya runinga na filamu. Amepata elimu yake nchini Uingereza kwenye nyanja za uandaaji, utengenezaji, uandishi na uhariri wa picha za vipindi vya filamu na runinga. Ameshawahi kufanya kazi na Shirika la Utangazaji la Tanzania, kama mtayarishaji wa vipindi. Siyo mara yake ya kwanza kuandika, (film scripts) lakini kazi yake imekuwa ikilenga zaidi hadhara ya upande wa runinga. Safari hii ameandika riwaya/tamthilia kwa hadhara yote, yaani hadhara ya wasomaji vitabu na hadhara ya waangaliaji runinga na filamu.

Weitere Titel in dieser Kategorie
Cover Sinaubi
Mbwana Kidato
Cover Kilio cha Mwanamke
Idrissa Haji Abdalla
Cover Kirusi Kipya
Halfani Sudy
Cover Penzi la Damu
Anna Manyanza
Cover Nyumbani
LS Morgan
Cover Mioyo Miongoni Mwetu
A. Happy Umwagarwa
Cover Mmeza Fupa
Ali Hilal
Cover Ardhi ya Gorofa
Edwin A Abbott
Cover Oliver Twist
Charles Dickens
Cover Mashine ya Wakati
Herbert George Wells
Cover Nyangumi
Herman Melville
Cover Njama
E.A. Musiba
Cover Hofu
E.A. Musiba
Cover Nyuma Ya Pazia
Nkuzi Mhango

Kundenbewertungen