Ndoto ya Amanda

Shelley Admont, Shelley Admont

EPUB
ca. 6,15

KidKiddos Books img Link Publisher

Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre

Beschreibung

Katika kitabu hiki cha watoto, utakutana na Amanda, msichana mdogo ambaye ana mengi ya kujifunza kuhusu kufanya kazi kwa bidii na jinsi ya kutimiza ndoto zake. Jiunge na Amanda kwenye safari yake nzuri, na ujifunze naye jinsi ya tafuta lengo lako na ufanye liwe kweli. Utamtazama akikabiliana na changamoto lakini kamwe hakukata tamaa katika njia yake ya kufikia lengo lake "e;Ndoto ya Amanda"e; ni kitabu cha motisha kwa watoto na wazazi wao. Hiki ni kitabu cha kwanza katika mkusanyiko wa hadithi fupi za motisha ambazo zinaweza kuwasaidia watoto wako kukuza ujuzi na kanuni katika kufikia maisha ya furaha, ya kuridhisha na yenye mafanikio.Swahili children's book. Perfect for kids practicing their Swahili language skills.In this children's book, you will meet Amanda, a young girl who has a lot to learn about hard work and how to make her dreams a reality. Join Amanda on her wonderful journey, and learn with her how to find your goal and make it come true. You will watch her face challenges but never give up along her path to achieving her goal. "e;Amanda's Dream"e; is a motivational book for children and their parents. This is the first book in a collection of short motivational stories that can help your children develop the skills and principles to achieve a happy, fulfilling and successful life.

Weitere Titel in dieser Kategorie
Cover Ndoto ya Amanda
Shelley Admont
Cover Chini ya nyota
Sam Sagolski
Cover Watoto wa Mitaani
Peter A. Kisia
Cover Usalama Barabarani
Peter A. Kisia
Cover Kishu Kazi
Hayati Jay Kitsao
Cover Siku ya Wajinga
Clara Momanyi
Cover Jumamosi ya Mkosi
Bitugi Matundura
Cover Mama wa Kambo
Catherine N. M. Kisovi
Cover Safari ya Usiku
Hezron Mugambi
Cover Kaponea Chupuchupu
Akberali Manji
Cover Mtoto Aliyetoweka
Akberali Manji
Cover Kinga ya Rushwa
Fortunatus F Kawegere
Cover Mateso Mwathirika wa Ukimwi
Fortunatus F Kawegere
Cover Safari ya Kombamwiko
Emmanuel Kariuki
Cover Votes for Women
Elizabeth Robins

Kundenbewertungen