Ndoto nzuri, kipenzi changu
KidKiddos Books, Shelley Admont
EPUB
ca. 6,49 €
Kinder- und Jugendbücher / Kinderbücher bis 11 Jahre
Beschreibung
Ni wakati wa kulala, lakini Alice hataki kwenda kulala bado. Kwa kupitia ratiba yake ya kulala, Mama anamtuliza binti yake kwa kumkumbusha mambo yote mazuri waliyofanya pamoja jioni hiyo. Kitabu hiki kimeandikwa kwa njia nyepesi na yenye kutuliza, kinaonyesha uhusiano mchangamfu na wenye upendo kati ya Alice na mama yake, huku kikiwatayarisha wasomaji wadogo kwa ajili ya kulala vizuri usiku.
Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
Swahili Kids books, Swahili for toddlers, Swahili books for kids, Swahili for children, Swahili bedtime stories, Swahili for kids