Mtu wa Mvua
Ken Walibora
* Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.
Kinder- und Jugendbücher / Kinderbücher bis 11 Jahre
Beschreibung
Dora yumo nyumbani ambamo amelazimika kubaki ili kuwachunga ng'ombe wao kutokana na ukosefu wa mfanyakazi mzuri. Halafu siku moja anamuona mtu anayetembea kwenye mvua bila kuguswa na tone la mvua. Anamshawishi mamaye wamwalike mtu huyu nyumbani. Mgeni anakubali kuandikwa kazi na Dora anarudi shuleni. Mtu huyu, Okungu, anaishia kuwa na vipawa vya ajabu ambavyo vinaisaidia jamii ya akina Dora kwa njia kubwa. Hii ni mojawapo ya hadithi tatu za kusisua zilizomo katika kitabu hiki. Juu ya kusisimua, zina mafunzo kemkem kwa wasomaji.
Kundenbewertungen
book, drama, ya drama, kitendo, mystery, coming of age, tamthiliya, kijana mzima, kijana, joka, teen, adventure, novella, kuja kwa umri, fiction, action, mchezo wa kuigiza, dragon, novela, Juvenile young adult, tukio, siri, kitabu