Mlima Kenya Kajifungua
Njiru Kimunyi
EPUB
ca. 17,99 €
Kinder- und Jugendbücher / Kinderbücher bis 11 Jahre
Beschreibung
Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia; akajifungua. "Je, ni mwana gani huyo aliyezaliwa? Jisomeeni wenyewe hii hadithi ili mpate kutambua. Na zaidi ya hiyo, kunazo vilevile, hadithi nyingine sita: Karamu Ya Kujialika; Fisi tumboni mwa Tembo, Bidii ni Mali; Mama Mja Mzito na Jitu; Nani Mlaji Zaidi na Urafiki wa Unafiki.
Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
Juvenile, ya drama, book, adventure, joka, kitendo, mtoto, fiction, kitabu, action, fairy tale, mystery, siri, tamthiliya, tukio, mchezo wa kuigiza, child, drama