Watoto wa Mitaani
Peter A. Kisia
* Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.
Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre
Beschreibung
Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika hali hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili, hakuna jambo la muhimu ambalo limetekelezwa kulitatua. Mwandishi anaangazia machache kuhusu haki za watoto kwa upande wa malezi na elimu. Vilevile anatoa mapendekezo na jinsi ya kuepukana na hali hizo. Watoto ni rasilmali kubwa ya taifa; ni viongozi wa kesho na
hasa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa katika siku zijazo. Kwa sababu hii, mwandishi anasisitiza umuhimu wa kuanzisha miradi fulani ya kuwasaidia watoto hawa kujitegemea kimaisha. Hivi basi makala haya ni ya muhimu kwa wote wale wanaohusika na tatizo la watoto wa mitaani.
Kundenbewertungen
anthology, book, dragon, tukio, ya drama, joka, tamthiliya, kitabu, teen, mchezo wa kuigiza, short stories, adventure, novela, siri, fiction, kitendo, kuja kwa umri, kijana mzima, young adult, action, drama, novella, coming of age, mystery, kijana