Kuku aliyegeuka kuwa Kanga
Fortunatus Kawegere
EPUB
ca. 13,99 €
Kinder- und Jugendbücher / Kinderbücher bis 11 Jahre
Beschreibung
Dunia haiishi mambo. Je, umewahi kujiuliza kanga ana uhusiano upi na kuku? Vilevile, umewahi kufungua kizimba cha kuku halafu jogoo akapaa dirishani na kuwika? Visa hivi vyote, kulingana na Fortunatus Kawegere, vina uhusiano: eti kuku na kanga huwa wanatafutana. Soma mwenyewe upate ukweli wake na ufaidi kwa maadili.
Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
kijana, mchezo wa kuigiza, joka, kitabu, siri, tamthiliya, novela, kijana mzima, kitendo, kuja kwa umri, tukio